Friday, October 31, 2014
Utambulisho wa makamishna wapya kwa mkuu wa wilaya ya ilala
Monday, October 13, 2014
Mwenge wa Uhuru
SKAUTI WILAYA YA ILALA WASHIRIKI KUUPOKEA MWENGE WA UHURU
Skauti wilaya ya Ilala wakiwa pamoja na wakimbiza Mwenge katika mapokezi
ya Mwenge wa Uhuru kutoka wilaya ya Temeke kwenda wilaya ya Ilala
tarehe 26/06/2012 eneo la Stesheni ya TaZara, Dar Es Salaam.
Skauti wilaya ya Iala wakiwavisha skafu wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa katika viwanja vya Stesheni ya TaZara, Dar Es Salaam.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Sophia Mjema akimkabidhi Mwenge wa Uhuru
mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi tarehe 26/06/2012 katika eneo
la Stesheni ya TaZara, Dar Es Salaam.
SKAUTI WILAYA YA ILALA WAENDESHA MAFUNZO YA UONGOZI WA KIKOSI
PATROL LEADER COURSE- (PEER EDUCATOR TRAINING)
Wahitimu
wa mafunzo ya uongozi wa kikosi wilaya ya Ilala wakionyesha vyeti vyao
baada ya kuhitimu mafunzo hayo katika viwanja vya makao makuu ya Skauti
Dar Es Salaam. Mafunzo hayo yalianza tarehe 22/06/2012 mpaka 24/06/2012.
Kamishina
wa Skauti Mkoa wa Dar-Es-Salaam Abubakar Mtitu (aliyevaa fulana ya
mistari) akiwapa maelekezo ya mchezo wa kuonyesha umuhimu wa kutunza
kumbukumbu washiriki wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakisikiliza jambo
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakiwa katika hema wakibadilishana mawazo juu ya mafunzo ya uongozi wa kikosi
Scouts Life Saving Activity
Sherehe ya kuapishwa kwa Skauti Mkuu Kanali mstaafu .O. Kipingu Ikulu jijini Dar es Salaam, mwaka 2008.
Mlezi wa Skauti Tanzania Mhe. Dkt Jakaya .M. Kikwete (Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania (aliyevaa suti nyeusi). Wa kwanza kulia ni
Makamo wa Rais Tanzania Mhe. Ali .M. Shein, [kulia kwa rais ni mkufunzi
wa Chama cha Skauti Tanzania ndugu Ngunga.
Naibu Waziri wa Elimu, Mhe. Mwantumu Mahiza aliyevaa kofia ya kijani
akibadilishana mawazo na wajumbe wa mkutano wa Skauti wa nchi za Afrika
Mashariki mjini Morogoro katika kambi ya Bahati, mwaka 2008.
Sunday, October 12, 2014
Monday, October 6, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)