- Heshima ya Skauti ni kuaminiwa
- Skauti ni mzalendo kamili
- Skauti ni mtu wa kuwa faa wengine pia
- Skauti ni rafiki kwa wote na ndugu kwa kila Skauti
- Skauti ni mwenye adabu kamili
- Skauti ni mwenye huruma kwa viumbe
- Skauti ni mtiifu
- Skauti ni mchangamfu daima
- Skauti ni mwangalifu wa mali
- Skauti ni safi katika mawazo, maneno, na matendo yake
+ Skauti si mjinga na mjinga sio skauti (ilisemwa na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere)
- A Scout's honnour is to be trusted
- A Scout is loyal to his nation
- A Scout is helpful to others
- A Scout is friendly to all and a brother to every Scout
- A Scout is courteous
- A Scout is kind to all creatures
- A Scout is obedient to his leaders
- A Scout is always cheerful
- A Scout is thrifty
- A Scout is clean in thought, word and deed
No comments:
Post a Comment