

Kumbe Mungu akiamua dar yote aigeuze beach inawezekana! acha kucheza na maji yana nguvu tosha! mie nahamia milima ya kitongaaaaa (18 photos)
![]() |
| jiji la dar es salaaam limezingilwa na maji skauti na vikosi vingine vinafanya kazi ya uokozi |
![]() |
| jinsi gani vua ilivyo leta maafa katika mitaa ya watu mji umekuwa bwawa la kivutio la watarii |





No comments:
Post a Comment