Picha za matukio ya maafa morogoro na tathmini.
8 April via HTC Sense
Baasda ya kuokoa baadhi ya wahanga wa maji na kupelekekwa kwenye hifadhi kwa ajili ya kupewa huduza za kijamii( kushoto ni kamishna wa skauti mratibu wa maafa taifa na mkoa kamishna juma masudi na kati na kulia ni watoo aambao pia ni waanga wa maafa huko morogoro wakisaidiana kufanya usafi katika kambi ya maafa.kichwa |
kamisha mkuu wa kikosi cha maafa taifa kamishna juma masudi akiwa anatoa maelezo ya juu ya athari za maafa |
No comments:
Post a Comment