Waziri Mkuu afungua mashindano ya Afrika Mashariki kwa shule za sekondari
Mon Sep 01 2014
Waziri Mkuu MIZENGO PINDA ameyafunga mashindano ya Afrika
mashariki kwa shule za sekondari FEASSSA na kuwataka kuwa mfano mzuri
katika ukanda huu kwani wengi wao watakuwa viongozi kwenye jumuiya hiyo.
PINDA ameyasema hayo mbele ya idadi kubwa ya wachezaji wa shule za sekondari kutoka mataifa ya Afrika Mashariki ikiwemo SUDAN KUSINI Mashindano kama hayo yatafanyika mwaka 2016 nchini RWANDA.
PINDA ameyasema hayo mbele ya idadi kubwa ya wachezaji wa shule za sekondari kutoka mataifa ya Afrika Mashariki ikiwemo SUDAN KUSINI Mashindano kama hayo yatafanyika mwaka 2016 nchini RWANDA.
WATCH THESE VIDEOS
FIND US ON FACEBOOK
No comments:
Post a Comment